Mh Waziri mkuu Mizengo
Pinda akiwasalimia majirani zake na kuwatakia heri ya mwaka 2013
kijijini kwao kibaoni katavi pichani anaonekana akiwa ana wasalimu mzee
Bernard Malyatabu Mayala (88) akiwa na mkewe bibi Bernadetha Kabandime Msuluba
(79) mh waziri mkuu yupo kijijini kwao kibaoni kwa mapumziko ya krismasi na
mwaka mpya. (Picha na Chris Mfinanga)
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiuliza bei ya nyama ya mbuzi akiwa katika kijiji cha Kibaoni.
HII NDIO LAETOLI
-
Bodi ya Wakurugenzi Mamlaka ya Hifadhi ya eneo la Ngorongoro ikiongozwa na
makamu Mwenyekiti Dkt. Harriet Mtae jana tarehe 11 julai, 2026 imekagua
ubores...
3 days ago
No comments :
Post a Comment