Katibu mkuu wa Balaza la Michezo Tanzania BMT Mohamed Kiganja katikati akiwa pamoja na baadhi ya viongozi waliomtembelea kazini kwake alipo waita |
Katibu mkuu wa Balaza la Michezo
Tanzania BMT Mohamed Kiganja katikati wengine kushoto ni Michael Buchato
kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super
D. Ally Bakari 'Champion' Chuku Dusso na Promota Haruna Mussa 'Dippo'
Picha na SUPER D BOXING NEWS
Kocha wa kimataifa wa mchezo wa
masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' akipeani mikono na Katibu mkuu
wa Balaza la Michezo Tanzania BMT Mohamed Kiganja katikati wengine kushoto ni Michael Buchato Ally Bakari 'Champion' Chuku Dusso na Promota Haruna Mussa 'Dippo' Picha na SUPER D BOXING NEWS
Na Mwandishi Wetu
KATIBU Mkuu wa Balaza la Michezo Tanzania Mohamed Kiganja amesema kuwa chama kinachotambulika na Serekali ni chama kimoja nacho ni Kamisheni ya Ngumiza ulipwa nchini TPBC
aliyasema hayo mwishoni mwa wiki iliyopita alipo wahalika baadhi ya viongozi pamoja na mabondia ofisini kwake na kuwaeleza kuwa chama ni kimoja tu nacho ni TPBC pekee ndicho watumie kwa ajili ya kuchezea mchezo wa ngumi nchini katika mikoa yote
Baadhi ya viongozi na mabondia waliokuwepo katika kikaio hichi ni Mwenyekiti wa Mda wa TPBC Chaurembo Palasa, Mwenyekiti wa waamuzi Ally Bakari msaidizi wake Michael Buchato promota Haruna Mussa 'Dippo' mabondia ni Kalama Nyilawila,Selemani Galile,Selemani Zugo, Abdul Zugo,Abdallah Zamba,Mussa Nassoro,Halini Mchanjo,Joyce Awino,Halima Bandola,Hamza Mchanjo,Haidal Mchanjo,Sadick Kinyogoli na mabondia wengine mbanimbali
akiwemo kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D'
aliendelea kwa kusema kuwa katika utawala wake anataka vijana waendelee katika michezo yote na wakiwa wazee wasitahabike na michezo walioicheza bal wajivunie kuendeleza michezo hiyo
namnukuu ' unajua mabondia mnazurumika sana kwa safari za nje ambazo mnapata ukiambiwa unakwena ulaya uko tayali ata kama utambiwa kampige konzi mama yako mzazi utafanya ili mradi ukapande ndege na malipo madogo kwa kumnufaisha mmtu mmoja tu' nimemaliza kumnukuu
aliongeza kwa kusema ametuma baruwa kwa njia ya Email Dunia nzima kutambulisha kuwa wasimamizi pekee wa mchezo wa ngumi Tanzania ni TPBC
ambao watakuwa wanaratibu ngumi zote nchini na si vinginevyo kwa kuwa nilifatilia vyama vinginevyote vimesajiliwa kwa jina la Kampuni Blera hivyo wao watafute biashara wanayo ifanya na sio ngumi
lakini wakitaji biashara ya ngumi lazima wapite kwa TPBC ndio wenye dhamana ya mchezo wa ngumi za kulipwa nchini wakifata talatibu mimi sina mashaka nawo waendelee kufanya ngumi ujue ngumi ni mchezo wa mabondia matarijiri Dunia nzima wanajua katika michezo yote anaye ongoza kwa utajiri ni bondia Floyd Maywether na anaefuata ni Mann Paquaio
atuwezi kwa na wanamichezo wakimaliza yani wakistaafu wanakuwa omba omba atutaki kusikia kwa sasa michezo ni ajira ambayo mwanamichezo inaweza kumnufaisha yeye na familia yake
No comments :
Post a Comment