Mabondia Iddi Mkwela kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Vicent Mbilinyi wakati wa mazoezi yanayoendelea katika kambi ya Super D Coach Uhuru GYM Kariakoo Shule ya Uhuru Mkwela anajianaa na mpambano na Mwinyi Mzengela Agost 21 katika uwanja wa ndani wa Taifa Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Kocha wa kimataifa wa mchezo wa
masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akimwelekeza bondia
Iddi Mkwela jinsu ya kupiga ngumi zenye mikunjo ya chini 'Upcat' Mkwela
anajiandaa na mpambano wake ujaodhidi ya Mwinyi Mzengela Agost 21 katika
uwanja wa ndani wa Taifa Picha na SUPER D BOXING NEWS
Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu
Mhamila 'Super D' kushoto akimwelekeza bondia Iddi Mkwela jinsu ya
kupiga ngumi zenye mikunjo ya chini 'Upcat' Mkwela anajiandaa na
mpambano wake ujaodhidi ya Mwinyi Mzengela Agost 21 katika uwanja wa
ndani wa Taifa Picha na SUPER D BOXING NEWS
Na Mwandishi Wetu
BONDIA Iddi Mkwela yupo katika
maandalizi mazito ya mpambano wake wa Agost 21 utakaofanyika katika
ukumbi wa uwanja wa ndani wa Taifa dhidi ya Mwinyi Mzengela mpambano wa
raundi sita kg 63
akizungumza wakati wa mazoezi yake anayo endelea katika kambi ya Super D Coach Uhuru GYM iliyopo Kariakoo Sule ya Uhuru
Mkwela amesema kuwa yupo fiti kwa
ajili ya mpambano uho kwani kwasasa anajua mbinu mbalimbali
alizofundishwa na kocha wake ambaye ni kocha wa kimataifa wa mchezo wa
masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' na ndie anae nisimamia katika
mapambano yangu kwa sasa ivyo natalajia kuonesha uwezo wa ali ya juu
sana niwapo ulingoni kwani sitaki kumwangusha kocha wangu ambaye nafuata
maelekezo yake kwa muda mrefu sasa
nae kocha Super D amesema kuwa mkwela
yupo fiti sana kwani kwa sasa katika kambi yake mabondia wote wapo
katika maandalizi ya mchezo wa masumbwi akiwemo bondia Vicent Mbilinyi
anae jiandaa na mpambano wake dhidi ya George Owano wa Kenya mpambano utakaofanyika Carnivore Grounds, Nairobi nchini Kenya September 17
katika mpambano wa mkwela wa Agost 21
kutakuwa na mipambano mingine ya mabondia mhachali nchini ambapo bondia
Mfaume Mfaume atavaana na Jonas Segu mpambano wa raundi nane KG 66
Katika
Mchezo huo kutakua na Uuzwaji wa DVD za mafunzo ya mchezo wa ngumi
pamoja na kutambua sheria zake mbalimbali zitakazokua zikisambazwa na
kocha 'Super D'
kwa ajili ya kuwapa mabondia mbalimbali mbinu za mchezo na mashabiki
kujua sheria za masumbwi.
Ndani yake wakiwemo mabondia Floyd
Mywether, Manny Paquaio, Amiri Khani, Mohamedi Ali, Mike Tayson David
Haye na wengine ambapo kutakuwa na matukio ya mazoezi yao katika mataifa
yao ikumbukwe kuwa ni mabingwa wa dunia. na kutakuwa na mapambano
makubwa matano ya utangulizi
No comments :
Post a Comment