Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe Mary wakizungumza na Waziri Mkuu
Mstaafu Mizengo Pinda wakati Waziri Mkuu, alipohutubia mkutano wa
hadhara kwenye kijiji cha Majimoto wialayani MleleAgosti 23, 2016. Wapili
kulia ni Mbunge wa Kavuu, Dkt.Pundeciana Kwembe.(Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo
Pinda wakati walipokutana katika mkutano wa hadhara uliohutubiwa na
Waziri Mkuu, kwenye kijiji cha Majimoto wilayani Mlele Agosti 23,
2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments :
Post a Comment