Mabondia Hashimu Chisora kushoto akitunishiana misuli na Iddi Mkwela baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa ubngwa wa raundi kumi KG 61 utakaofanyika uwanja wa ndani wa Taifa agost 27 jumamosi Katikati ni kiongozi Ally Bakari 'Champion' Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Mabondia Abdallah Zamba kushoto
akitunishiana misuli na Twalibu Mchanjo baada ya kupima uzito kwa ajili
ya mpambano wao kesho katika uwanja wa ndani wa taifa Picha na SUPER D BOXING NEWS
Mabondia Hashimu Chisora kushoto akitunishiana misuli na Iddi Mkwela baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa ubngwa wa raundi kumi KG 61 utakaofanyika uwanja wa ndani wa Taifa agost 27 jumamosi Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Mabondia wa kike Halima Bandola kushoto na Ester Kazabe wakitunishiana
misuli kwa ajili ya mpambano wao kesho katika uwanja wa ndani wa Taifa
katikati ni Mwenyekiti wa kamisheni ya ngumi za kulipwa nchini TPBC
Chaurembo Palasa
Bondia Iddi Mkwela ajiojiwa na mtangazaji wa ITV Jimmy Tala baada ya kupima Uzito
IDDI MKWELA
Mabondia Hashimu Chisora na Iddi Mkwela wakitunishiana mishuli |
No comments :
Post a Comment