Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Thursday, January 12, 2017

BONDIA IDDI MKWELA AJIANDAA KUMKABILI MANYI ISSA FEB 5 TAIFA


Bondia Iddi Mkwela kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Vicent Mbilinyi wakati wa mazoezi yake wa kujiandaa na kupigana na Manyi Issa Feb 5 katika uwanja wa ndani wa Taifa 'Indoor Stadium' mpambano wa raundi kumi uzito wa KG 61 Picha na SUPER D BOXING NEWS

 Bondia Iddi Mkwela akielekezwa kupiga ngumi zenye mkunjo wa chini 'Upcat' na kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' wakati wa mazoezi yanayoendelea katika Super D gym iliyopo kariakoo shule ya uhuru Mkwela atazipiga na Manyi Issa Feb 5 katika uwanja wa ndani wa Taifa 'Indoor Stadium' mpambano wa raundi kumi uzito wa KG 61 Picha na SUPER D BOXING NEWS
 Bondia Iddi Mkwela akielekezwa kupiga ngumi zilizo nyooka na kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' wakati wa mazoezi yanayoendelea katika Super D gym iliyopo kariakoo shule ya uhuru Mkwela atazipiga na Manyi Issa Feb 5 katika uwanja wa ndani wa Taifa 'Indoor Stadium' mpambano wa raundi kumi uzito wa KG 61 Picha na SUPER D BOXING NEWS


Na Mwandishi Wetu

BONDIA Iddi Mkwela ameingia kambini baada ya kusaini mpambano wake wa raundi kumi uzito wa kg 61 kupambana na Manyi Issa Feb 5 katika uwanja wa ndani wa Taifa

Mpambano uho wa mabondia hawo unatarajia kuwa mzuri sana kwa kuwa mabondia wote ndio kwanza wananza kuwika katika tasinia ya masumbwi na ndio mpambano uliobeba hisia za wapenzi na mashabiki wengi wa mchezo wa ngumi kutokana na kutajwa mara kwa mara kwa wapenzi wa wanaofatilia mchezo wa ngumi kwa sasa nchini

akizungumza kuhusu mpambano wake uho Mkwela amesema kuwa anae mtafuta sio yeye kabisa kwani ayupo katika akili yangu kwa kuwa kesha jipendekeza huyu atakuwa kafanywa kafala kwani ndio njia yangu ya kwenda kwa mabondia ninao wataka huyu sio saidi yangu ngumi ajajua ili mikono ita ongea siku hiyo sina maneno mengi alisema Mkwela;

nae kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' anae mnowa bondia huyo amesema kwa kuwa mpambano wa kwanza kwa Mkwela kucheza raundi kumi naitaji nimwangalie pumzi yake kwani mazoezi anafanya mengi ya nguvu na ana bidii ya mazoezi matumaini yangu atashinda ushindi ambao ato wasumbua majaji kuandika katika karatasi zao yani K.O ya mapema

Ahidha siku hiyo kutakuwa na mapambano mbalimbali ya kukata na shoka ambapo bondia kutoka mbeya Meshack Mwankemwa atakumbana na Ramadhani Shauri katika mpambano wa raundi kumi za ubingwa

Mpambano mwingine utawakutanisha bondia Mohamed Matumla atakaevaana na Mfaume Mfaume wengine ni Mohamed Swedi atakae vaana na Ahidar Mchenjo na Ibrahimu Maokola atazipiga na Zumba Kukwe kutoka Kibaha  pamoja na mapambano mengine mbalimbali

No comments :

Post a Comment