Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Thursday, September 13, 2018

HOMA YA MPAMBANO WA MASUMBWI SEPTEMBA 15 TAIFA WAZIDI KUPAMBA MOTO


Na Mwandishi Wetu

YAKIWA wamebakia masaa machache sana kabla ya ule mtanange wa masumbwi utakao wakutanisha mabondia Haidary Mchanjo na Fredy Sayuni utakaofanyika Septemba 15 katika ukumbi wa uwanja wa ndani wa Taifa jumamosi hii

Mabondia hao wamendelea na mazoezi na sasa wapo tayali kwa mpambano uho akizungumza na mwandishi wa habari hizi mratibu wa mpambano uho Rajabu Mhamila 'Super D'  amesema kuwa maandalizi yote yamekamilika kwa sasa wanacho subili ni siku tu ya mpambano kwani mabondia wote wapo na molali ya hali ya juu ya kutaka kupigana

na akuna bondia yoyote alieleta malalamiko kuwa awezi kupanda ulingoni siku hiyo mabondia wote tulio ingia nao mkataba wa kuzipiga watapigana siku hiyo

mbali na mpambao uho unaosubiliwa kwa hamu na mashabiki lukuki kutakuwa na mapambano mengine ya kukata na shoka ambapo bondia

Abdallah Pazi 'Dula Mbabe' atazipiga na Georger Dimoso na Vicent Mbilinyi atavaana na Saidi Kidedea Hassani Mijugu na Martn Shekivuli Mohamedi Kashinde atakumbana na Sadiki Momba na Imani Mapambano na Paul Kamata wakati Frank John atazipiga na Bakari Mbede

Mpambano uhu umepewa Baraka zote na kamati ya kusimamia ngumi za kulipwa chini inayo ongozwa na Emanuel Saleh

mabondia wote watapima uzito na Afya katika soko la Vetenali lililopo Tazara siku ya Ijumaa na watacheza jumamosi katika uwanja wa ndani ya Taifa 'Indoor Stadium'

No comments :

Post a Comment