Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Thursday, November 18, 2021

BONDIA RAMADHANI MIGWENE AMUWEKEA MIKWALA ALBANO CLEMENT BAADA YA KUKIMBIWA NA HABIBU PENGO

 


BONDIA RAMADHANI MIGWEDE baada ya kukimbiwa na mpinzani wake Habibu Pengo aliesaini nae kuzipiga mara ya kwanza sasa amebadilishiwa mpinzani na atacheza na bondia machachali kutoka mlandizi Albano Clement Desema 3 mpambano wa raundi nae utakaofanyika katika uwanja wa Kinesi uliopo Shekilango jijini Dsar es salaam 


akiongea wakati wa kutambulisha mpambano wa rasmi Migwede amesema kuwa yeye ni bondia hivyo uwezo wake una mruhusu kucheza na mtu yoyote atakaekuwa mbele yake ili mradi walingane uzito tu aliongeza kwa kusema unajua mimi ni bondia hivyo kazi yangu mimi ni kupigana hivyo siwezi kuacha kupigana kwa sababu Pengo kanikimbia hii ni kazi kama kazi nyingine nimepewa kazi na Albano hivyo ajipange kwa kuwa kipigo nitakachompa ni cha mbwa mwizi mimi ni mtu mwingine kabisa niwapo ulingoni hivyo ajitahalishe sasa sijui mwenzie kaona nini mpaka kakimbia na mimi naishi huyu kadandia treni kwa mbele sasa kipigo nitakachompatia atashindwa kuhadithia nae Clement amesema kuwa yeye ni bondia na ngumi ni kazi yake hivyo kazi kazi watakutana ulingoni sdiku hiyo mimi nimewapiga mabondia wakubwa kuliko yeye nimempiga Saidi Mundi kutoka Tanga bondia ambaye ni hatari sana kwa tanzania lakini nimemkalisha na cha moto kakiona nimemtwanga bila huruma bondia Seba Temba kutoka Morogoro na yeye alikuwepo katika mpambano huo sasa sidhani katika raundi nane hizo hatamaliza yote kwa yote mikono yangu ndio itakayo amua mpambano uho mbali na mpambano uho unaosubiliwa kwa hamu siku hiyo pambano ilingine kali litawakutanisha mabondia machachali Muksin Swalehe ;Alkasusu; na Cosmas cheka mabondia ambao walikuwa wakitafutana kwa mda mrefu sasa kumaliza ubishi Desemba 3 katika uwanja wa kinesi

1 comment :

  1. MGM Grand Casino - MapyRO
    MGM Grand is located at 7011 E. Highland Way in Las Vegas, NV, United States. 인천광역 출장마사지 The 거제 출장샵 casino's 16 table 군포 출장안마 games include Blackjack, Roulette, 안양 출장샵 Craps, Video 태백 출장안마 Poker,

    ReplyDelete