| Banza Stone akiimba sambamba na Ally Choki na wanamuziki wengine katika safu ya uimbaji ya Extra Bongo usiku wa kuamkia leo ndani ya Mzalendo Pub. |
| Show... kambambe iliporomosha na wacheza show mahiri wa Extra Bongo. |
| Wazee wakazi, wazee waliojitoa muhanga, wazee wa kujinafasi, wazee wa show ya kufa mtu wakiongozwa na dansa mahiri Super Nyamwele wakifanya mambo |
| Ally Choki akimtambulisha Meneja mpya wa Bendi ya Extra Bongo anaekwenda kwa jina la 'Tito' aka Tito Meneja. |
| Ally Choki mkurugenzi wa Bendi ya Exta Bongo akimtambuliaha Macheleh, mataalamu mwendeshaji wa Blospot ya Extra Bongo. http://extrabongo.blogspot.com |
| Wadau, Kutoka kushoto Cesilia Jeremia kutoka Radio Uhuru, Amina Singo wa Time s Radio na Da' Rachel Mwilingwa mhariri wa Michezo gazeti Mtanzania wakijinafasi ndani ya Mzalendo Pub. |
| Mashaiki wakiserebuka na wana wa Extra Bongo. (Picha zote na Victor Makinda) |
No comments :
Post a Comment