Waliokuwa washitakiwa katika kesi ya wizi wa Sh. bilioni 1.8 katika Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA) katika Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Farijara Hussein na binamu yake Rajabu Rajabu Maranda wamehukumiwa leo katika Mahakama ya Hakim Mkazi, Kisutu jijini Dar es Salaam, kifungo cha miaka mitano jela na kurudisha serikalini fedha hizo. Picha kutoka Kamanda wa Matukio
FALIALA MBUTU KUZIKWA JUMATATU DISEMBA 29
-
Mazishi ya mwanamuziki Faliala Mbutu ambaye alikua mume wa mwanamuziki
mkongwe wa muziki wa dansi Luiza Mbutu yatafanyika Jumatatu tarehe
Desemb...
3 hours ago
No comments :
Post a Comment