MKUU wa Kitengo cha Interneti katika wa Kampuni ya Simu za Mkononi ya Vodacom, Candise Rato (Wapili Kushoto), akimuonyesha Kaimu Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Saidi Mecky Sadick (wa tatu kushoto) jinsi ya kupata huduma za Tv kupitia Dstv katika simu zenye mdandao wa Vodacom. Kulia ni Ofisa Mwendeshaji Mkuu wa Vodacom, Peter Correia na kushoto ni Mkuu wa Biashara na Masoko wa Dstv, Martin Mabutho.
Wanamuziki Enika na Saganda wakitumbuiza wakati wa uzinduzi huo.
FEAJ KUTETEA HAKI ZA WAANDISHI
-
*Mwandishi wetu,Kigali*
Shirikisho jipya la Waandishi wa habari Afrika Mashariki(FEAJ) limeanzishwa
ili kusaidia kutetea haki na maslahi ya wafanyakazi ...
10 hours ago
No comments :
Post a Comment