Bingwa wa zamani wa dunia wa ndondi za kulipwa uzito wa juu, Evander 'The Real Deal' Holyfield wa marekani akiwa amewashika mijkono bondia Ruslan Chagaev wa Uzbekistan, kushoto na Alexander Povetkin wa Urusi kulia, katika siku ya kupima uzito kwa mabondia hao mjini Erfurt, Ujerumani juzi. Pambano la kuwania ubingwa wa dunia wa WBA uzito wa juu baina ya wawili hao lilitarajiwa kufanyika jana mjini Erfurt.
WENJE AVUTIWA NA CCM MPYA.
-
Aliyekuwa Kada mwandamizi wa CHADEMA Ezekiel Wenje ametangaza kujiunga na
Chama cha Mapinduzi(CCM).
Katika moja ya maneno yake wakati wa ukarobisho We...
7 hours ago
No comments :
Post a Comment