Rais Kikwete afuturu na wakazi wa mkoa wa Lindi aagiza viongozi kutatua tatizo la Maji mjini Lindi
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwasalimia baadhi ya wakazi wa mji wa Lindi waliohudhuria futari aliyowaandalia jana jioni mjini Lindi.Rais Kikwete alieleza kusikitishwa kwake na tatizo sugu la maji mji wa lindi na kuwaagiza viongozi wa mkoa huo kutatua tatizo hilo bila kuchelewa. Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwapa zawadi masista wa kanisa Katoliki mjini Lindi waliohudhuria futari iliyoandaliwa na Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete mjini Lindi jana jioni(picha na Freddy Maro).
No comments :
Post a Comment