Mkuu wa jeshi la Polisi nchini IGP Said Mwema akiteta jambo na mhariri wa picha wa gazeti la Jambo leo Richard Mwaikenda wakati walipokutana hivi karibuni katika moja ya majukumu ya kazi hivi karibuni wakati wa uzinduzi wa kutii sheria bila kushurutishwa, uliofanyika makao Makuu ya Wizara ya Mambo ya nje. Picha kwa hisani ya Gazeti la Changamoto.
FEAJ KUTETEA HAKI ZA WAANDISHI
-
*Mwandishi wetu,Kigali*
Shirikisho jipya la Waandishi wa habari Afrika Mashariki(FEAJ) limeanzishwa
ili kusaidia kutetea haki na maslahi ya wafanyakazi ...
10 hours ago
No comments :
Post a Comment