Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Wednesday, August 10, 2011

NBC yazindua akaunti mbili zinazofuata maadili ya kiislamu










Rais Mstaafu, Alhaji Ali Hassan Mwinyi (katikati) akizindua rasmi akaunti mbili za Benki ya NBC ZA wateja wa Makampuni, Mashirika na Akaunti ya Wafanyabiashara zinazofuata kanuni na misingi ya kifedha kwa kuzingatia maadili ya dini ya kiislamu katika Hoteli ya Moevenpick Royal Palm jijini Dar es Salaa juzi. Wa pili kulia ni Mkurugen zi Mtendaji wa Benki ya NBC, Lawrence Mafuru na kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa NBC wa Akaunti za Shariah, wa William Kalaghe.






Rais Mstaafu, Alhaji Ali Hassan Mwinyi akishikana mikono na Mkurugen zi Mtendaji wa Benki ya NBC, Lawrence Mafuru wakati wa uzinduzi rasmi wa Akaunti mbili za wateja wake wa Makampuni, Mashirika




na Akaunti ya Wafanyabiashara zinazofuata kanuni na misingi ya kifedha kwa kuzingatia maadili ya dini ya kiislamu katika Hoteli ya Moevenpick Royal Palm jijini Dar es Salaa juzi.








Rais Mstaafu, Alhaji Ali Hassan Mwinyi (katikati) akizungumza Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Lawrence Mafuru na kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya NBC, Dr Mussa Assad.








Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Lawrence Mafuru (katikati) akizungumza.








Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Lawrence Mafuru (katikati) akitoa maelezo kwa Rais Mstaafu, Alhaji Ali Hassan Mwinyi (wa pili kushoto)










Baadhi ya wageni waalikwa wakichukua futari iliyoandaliwa na benki ya NBC kabla ya sherehe za uzinduzi wa akaunti hizo.

No comments :

Post a Comment