Meneja Uhusiano wa Zantel, Charles Jutta (kushoto) akimkabidhi Waziri wa Mawasiliano na Miundombinu wa Zanzibar, Hamad Masoud Hamad luninga ambazo zitafungwa kwenye chumba cha kupokea wageni rasmi na chumba cha wanaosafiri katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Zanzibar, wakati wa hafla fupi iliyofanyika mjini Zanzibar jana. Msaada huu ni sehemu ya mchango wa Zantel wa mradi unaoendelea wa uwanja wa ndege wa Zanzibar.
FEAJ KUTETEA HAKI ZA WAANDISHI
-
*Mwandishi wetu,Kigali*
Shirikisho jipya la Waandishi wa habari Afrika Mashariki(FEAJ) limeanzishwa
ili kusaidia kutetea haki na maslahi ya wafanyakazi ...
10 hours ago
No comments :
Post a Comment