
Katibu wa Chama cha mchezo wa ngumi Temeke Ali
Mchumila akimkabidhi flana ya wadhamini wa michuano ya Wilaya ya Temeke CAW BEll
Makamu menyekiti wa Mpira wa Kikapu Nchini , Phares Magesa

Bondia Haridi Kibavu (kushoto) akimrushia konde
Mahafudhi Swai wakati wa mpambano wao ulioandaliwa na Chama cha mchezo wa Ngumi
Temeke, Dar es salaam jana, Kibavu aliashinda Kwa Pointi.

Kocha wa Mchezo wa Kimataifa wa Masumbwi Nchini
Rajabu Mhamila Super D kushoto akimsindikoza Bondia Ibrahimu Class wa Amana kwa
ajili ya kucheza Jana

Mabondia Hamadi Omari na Thomas Son wakioneshana ufundi wa kutupiana
masumbwi wakati wa mashindano yaliyoandaliwa na chama cha mchezo wa Ngumi
TEMEKE
No comments :
Post a Comment