Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Saturday, March 10, 2012

ndoa yangu ya kanumba kuingia sokoni mwisho wa mwezi


Na Mwandishi WetuMSANIINguli wa filamu nchini Stiven Kanumba yupo
mbioni
kukamilisha filamumpya itakayokwenda kwa jina la Ndoa Yangu
akizungumzia filamu
hiyoitakayokuja kubamba wapenzi wengi kwa kuwa ina
mafundisho ya hali yajuu
katika jamii hususani wanandoa.hivyo kuwataka
wapenzi wake wa filamu kukaa mkao
wa kula kwa kuwamwezi uliopita nilitatoa
filamu yangu ya kwanza kwa mwaka huu
yaKijiji cha Tambua Haki ambayo mpaka
sasa inatamba katika soko mananimefanya
uchunguzi kuwa wapenzi wangu
wameifuraiha hivyo nakuja tenakivingine.Filamu hiyo
itakayokuwa ikisambazwa
na Kampuni ya Steps Entatainmentiya jijini Dar es salaam
itakuwa moto wa
kuotea mbali hivyo kaenitayali.

No comments :

Post a Comment