
wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na ujumbe wa Kujitathmini
Ki-Utawala Bora katika Afrika ‘African Peer Review Mechanism’ (APRM) wakati
ujumbe huo ulipomtembelea Ofisini kwake Ikulu Dar es Salaam leo Machi 16, 2012
kwa ajili ya mazungumzo. Picha na Muhidin Sufiani-OMR

wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Mjumbe wa Kujitathmini Ki-Utawala Bora katika Afrika ‘African Peer Review
Mechanism’ (APRM) Tanzania, John Shibuda, baada kumaliza mazungumzo na Ujumbe
huo uliofika Ofisini kwake Ikulu Dar es Salaam leo Machi 16, 2012 kwa ajili ya
mazungumzo. Picha na Muhidin Sufiani-OMR

Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifurahia jambo na Kiongozi
wa Jopo la Wataalam kutoka Afrika wa Ujumbe wa Kujitathmini
Ki-Utawala Bora katika Afrika ‘African Peer Review Mechanism’ (APRM) Akere
Tabeng Muna (kulia) na Mwenyekiti wa Ujumbe huo kutoka Tanzania, Hasa Mlawa
(kushoto) baada kumaliza mazungumzo na Ujumbe huo uliofika Ofisini kwake Ikulu
Dar es Salaam leo Machi 16, 2012 kwa ajili ya mazungumzo. Picha na Muhidin
Sufiani-OMR

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipiga picha ya
pamoja kwa kumbukumbu pamoja na Wajumbe wa Kujitathmini Ki-Utawala
Bora katika Afrika ‘African Peer Review Mechanism’ (APRM) baada
kumaliza mazungumzo na Ujumbe huo uliofika Ofisini kwake Ikulu Dar es Salaam leo
Machi 16, 2012 kwa ajili ya mazungumzo. Picha na Muhidin
Sufiani-OMR
No comments :
Post a Comment