Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Saturday, March 10, 2012

ITHINK I HATE MY WIFE KUTOKA HIVI PUNDE


MSANII wa filamu nchini Simoni Mwapagata (Rado) yupo mbioni
kutoafilamu
yake mpya ya ITHINK I HATE MY WIFE itakayotoka wakati
wowotekuanzia sasa
akielezea filamu hiyo ambayo anaonekana akiwa na mmoja
yawashiriki kama mchumba
wake anaetarajia kuwa mkewe rakini ana kutanana
mauzauza ya ajabu kwa mchumba
huyo.Rado alisema filamu hiyo si ya kukosa
kwani ina ujumbe maususi kwawatu
wanaotarajia kuoa hivyo si yakukosa kabisa
kwani watu na jamiinzima watajifunza
vitu vingi kwa kuwa amekaa ametulia
kuitengenezafilamu hiyo hitakayokuwa
ikisambazwa na Kampuni ya Steps
Entatainmentya jijini Dar es salaam.Ambapo
inatarajia kutoka mdawowote ule
kuanzia sasas.

No comments :

Post a Comment