MISS WORLD SASA KUFANYIKA MWEZI WA NANE NCHINI CHINA
Mwenyekiti wa kamati ya mashindano ya Miss
Tanzania Bw.Hashim Lundenga katikati akiongea na waandishi wa habari leo katika
ukumbi wa Hadee's jijini Dar es salaam, juu ya mabadiliko ya uendeshaji wa
mashindano ya Miss Tanzania kuanzia mwaka huu kutokana na mabadiliko ya kalenda
ya kutafuta mrembo wa dunia ambayo mwaka huu yanafanyika mwezi wa nane nchini
china Kushoto ni mkuu wa itifaki Bw.Albert Makoye na kulia mtaalamu wa Miss
Tanzania Dr.Ramesh Shah.(PICHA NA PHILEMON
SOLOMON WA FULLSHANGWE)
Baadhi ya waandishi
wa habari waliodhuria katika mkutano huo
No comments :
Post a Comment