Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Monday, June 1, 2015

BONDIA FRANCIS CHEKA ALIVYO MSAMBALATISHA MTHAILAND KWA T.K.O YA RAUNDI YA NANE



 Bondia Francis Cheka kulia akipambana na Kiatchai Singwancha wakati wa mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita Cheka alishinda kwa T.K.O ya raundi ya nane Picha na SUPER D BOXING NEWS
 Bondia Francis Cheka kulia akioneshana umwamba wa kutupiana makonde  na Kiatchai Singwancha wakati wa mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita katika ukumbi wa P.T.A Sabasaba Cheka alishinda kwa T.K.O ya raundi ya nane Picha na SUPER D BOXING NEWS
Bondia Shabani Kaoneka kulia akimtupia konde la nguvu Zumba kukwe wakati wa mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita Kaoneka alishinda mpambano uho kwa point Picha na SUPER D BOXING NEWS

Bondia Seleman Zugo kushoto akipambana na Twaha Kiduku wakati wa mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita Picha na SUPER D BOXING NEWS
Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila akiwa na wadau wa masumbwi
Kocha wa Kimataifa wa Mchezo0 wa Masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kulia akiwa na wadau mbalimbali akiwemo kaka yake wa pili kushoto Shabani Mhamila 'Star Boy' wakishudia mpambano wa cheka
Bondia Francis Cheka kulia akioneshana umwamba wa kutupiana makonde  na Kiatchai Singwancha wakati wa mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita katika ukumbi wa P.T.A Sabasaba Cheka alishinda kwa T.K.O ya raundi ya nane Picha na SUPER D BOXING NEWS

No comments :

Post a Comment