Na Mwandishi Wetu
MABONDIA Selemani Galile 'Selemani 
Toll' na Zumba Kukwe wanatarajia kuzidunda mwanzoni mwa mwezi ujao 
katika mpambano wa kufungulia mwaka 2016 kg 75 mpambano utakaofanyika 
january 2 katika ukumbi wa frends corner manzese
mpambano uho ni wa kumaliza ubishi 
baada ya mpambano wao wa kwanza miaka mitatu  nyuma kutoka droo ambapo 
kila bondia amejigamba kumsambaratisha mwenzie
akizungumza na waandishi wa habari 
mratibu wa mpambano uho Rajabu Mhamila 'Super D' amesema kuwa mpambano 
uho ni maalumu kwa ajili ya kumaliza ubishi wa miaka mitatu ya nyuma 
mpambono walioutoa droo
hata hivyo siku hiyo kutakuwa na mapambano
 ya nguvu ambayo yatawakutanisha mabondia
 mbalimbali ambapo bondia Shomari 
Milundi atapambana na Hussein Mbonde uku Shedrack Ignas akikumbana na 
Abdalla Luwanje wakati Mwinyi Mzengela atakumbana na Mohamedi Kashinde 
na Ramadhani Maonya atakumbana na Said 
Faraji wakati Kelvin Majiba atakumbana na Ibrahimu Hamis 
Super D alisema kuwa wameandaa mapambano hayo kwa ajili ya 
kukuza viwango vya mabondia chipkizi na kuimalisha zaidi wale wenye 
uwezo kwa ajili ya kuwapatia mipambano mbalimbali ya ndani na nje ya 
nchi
Super D aliongeza kwa kusema kuwa siku hiyo kutakuwa na burudani za nguvu pamoja na ulinzi wa kutosha na ngumi zitaanza mapema ili wapenzi wa mchezo wa masumbwi warudi majumbani mapema wakiwa na furaha ya mchezo utakaochezwa
Super D aliongeza kwa kusema kuwa siku hiyo kutakuwa na burudani za nguvu pamoja na ulinzi wa kutosha na ngumi zitaanza mapema ili wapenzi wa mchezo wa masumbwi warudi majumbani mapema wakiwa na furaha ya mchezo utakaochezwa
Katika mpambano huo siku hiyo kutakuwa
 na uzwaji wa DVD za mafunzo ya mchezo wa ngumi  kali pamoja na kutambua
 sheria zake zikiwa na mabondia wakali kama vile



