Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Wednesday, August 10, 2016

KATIBU WA BALAZA LA MICHEZO TANZANIA BMT MOHAMED KIGANJA ASEMA KATIKA NGUMI ZA KULIPWA NI TPBC PEKEE NDIO ITAKAYOFANYA KAZI




Katibu mkuu wa Balaza la Michezo Tanzania BMT Mohamed Kiganja katikati akiwa pamoja na baadhi ya viongozi waliomtembelea kazini kwake alipo waita

 Katibu mkuu wa Balaza la Michezo Tanzania BMT Mohamed Kiganja katikati wengine kushoto ni Michael Buchato kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D. Ally Bakari 'Champion' Chuku Dusso na Promota Haruna Mussa 'Dippo' Picha na SUPER D BOXING NEWS
Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' akipeani mikono na Katibu mkuu wa Balaza la Michezo Tanzania BMT Mohamed Kiganja katikati
wengine kushoto ni Michael Buchato Ally Bakari 'Champion' Chuku Dusso na Promota Haruna Mussa 'Dippo' Picha na SUPER D BOXING NEWS


Na Mwandishi Wetu

KATIBU Mkuu wa Balaza la Michezo Tanzania Mohamed Kiganja amesema kuwa chama kinachotambulika na Serekali ni chama kimoja nacho ni Kamisheni ya Ngumiza ulipwa nchini TPBC 

aliyasema hayo mwishoni mwa wiki iliyopita alipo wahalika baadhi ya viongozi pamoja na mabondia  ofisini kwake na kuwaeleza kuwa chama ni kimoja tu nacho ni TPBC pekee ndicho watumie kwa ajili ya kuchezea mchezo wa ngumi nchini katika mikoa yote

Baadhi ya viongozi na mabondia waliokuwepo katika kikaio hichi ni Mwenyekiti wa Mda wa TPBC Chaurembo Palasa, Mwenyekiti wa waamuzi Ally Bakari msaidizi wake Michael Buchato promota Haruna Mussa 'Dippo' mabondia ni Kalama Nyilawila,Selemani Galile,Selemani Zugo, Abdul Zugo,Abdallah Zamba,Mussa Nassoro,Halini Mchanjo,Joyce Awino,Halima Bandola,Hamza Mchanjo,Haidal Mchanjo,Sadick Kinyogoli na mabondia wengine mbanimbali 

akiwemo kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' 

aliendelea kwa kusema kuwa katika utawala wake anataka vijana waendelee katika michezo yote na wakiwa wazee wasitahabike na michezo walioicheza bal wajivunie kuendeleza michezo hiyo

namnukuu ' unajua mabondia mnazurumika sana kwa safari za nje ambazo mnapata ukiambiwa unakwena ulaya uko tayali ata kama utambiwa kampige konzi mama yako mzazi utafanya ili mradi ukapande ndege na malipo madogo kwa kumnufaisha mmtu mmoja tu' nimemaliza kumnukuu

aliongeza kwa kusema ametuma baruwa kwa njia ya Email Dunia nzima kutambulisha kuwa wasimamizi pekee wa mchezo wa ngumi Tanzania ni TPBC

ambao watakuwa wanaratibu ngumi zote nchini na si vinginevyo kwa kuwa nilifatilia vyama vinginevyote vimesajiliwa kwa jina la Kampuni Blera hivyo wao watafute biashara wanayo ifanya na sio ngumi 

lakini wakitaji biashara ya ngumi lazima wapite kwa TPBC ndio wenye dhamana ya mchezo wa ngumi za kulipwa nchini wakifata talatibu mimi sina mashaka nawo waendelee kufanya ngumi ujue ngumi ni mchezo wa mabondia matarijiri Dunia nzima wanajua katika michezo yote anaye ongoza kwa utajiri ni bondia Floyd Maywether na anaefuata ni Mann Paquaio

atuwezi kwa na wanamichezo wakimaliza yani wakistaafu wanakuwa omba omba atutaki kusikia kwa sasa michezo ni ajira ambayo mwanamichezo inaweza kumnufaisha yeye na familia yake

No comments :

Post a Comment