WENJE AVUTIWA NA CCM MPYA.
-
Aliyekuwa Kada mwandamizi wa CHADEMA Ezekiel Wenje ametangaza kujiunga na
Chama cha Mapinduzi(CCM).
Katika moja ya maneno yake wakati wa ukarobisho We...
2 hours ago
Maendeleo kama haya, yanatakiwa, kwa kuwawezesha wanajamii wa mbeya kupata huduma ya kuhifadhi fedha zao kwa usalama, na kupata mahitaji mengineyo kupitia benki kama hii.
ReplyDeleteTunawapongeza hii benki na iendeleze changamoto yake kwa kuongeza kufungua matawi mengineyo katika mikoa mingine pia, kuwawezesha wananchi kupata huduma kwa urahisi zaidi.
Asante!