Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Friday, November 4, 2011

Mazungumzo ya Rais Dk. Shein na Waandishi wa habari bara na visiwani


Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohammed Shein alipokuwa akizungumza na Wanahabari leo Ikulu Mjini Zanzibar
PICHA ZOTE NA HAMAD HIJA (MAELEZO ZANZIBAR)
Mwandishi mwandamizi wa Habari Ali Saleh (kulia)akiuliza swali kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohammed Shein katika Mkutano uliofanyika leo huko ofisini kwake Ikulu mjini Zanzibar.
PICHA NA HAMAD HIJA (MAELEZO ZANZIBAR)
Mhariri wa Gazeti la Daily News,Mkumbwa Ali ,akiuliza suala kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akizungumza na Waandishi wa Habari wa vyombo mbali mbali, Bara na visiwani,kuhusu mafanikio ya mwaka mmoja tokea kushika nafsi ya Urais wa Zanzibar,Ikulu Mjini Zanzibar.
Mwandishi wa Habari Mwandamizi wa Gazeti la Jamboleo Asha Kigundula akiuliza suala kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,alipozungumza na Waandishi wa Habari wa Bara na visiwani,kuhusu mafanikio ya mwaka mmoja tokea kushika nafsi ya Urais wa Zanzibar,juu ya udhamini wa Pombe kwa timu za zanzibar,Ikulu Mjini Zanzibar.
Mwandishi wa habari wa Chanal Ten,Munir Zakaria,amuuliza Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein,suala la Utumiaji wa Gari za serikali zinazotumiwa nje ya wakati wa kazi,alipozungumza na waandishi wa habari wa vyombo mbali mbali Bara na Visiwani,Ikulu Mjini Zanzibar jana,kuhusu mafanikio ya DK Shein katika kipindi cha mwaka mmoja tokea kuchaguliwa kuwa Rais wa Zanzibar. Picha na Ramadhan Othman Ikulu.

No comments :

Post a Comment