Kamishna wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania Sufian Bukurura akimkabidhi zawadi Katibu Mtendaji mstaafu wa Tume hiyo Japhet Sagasii wakati wa hafla ya kuwaaga wastaafu wa Tume iliyofanyika ukumbi wa Land Mark Dar es Salaam.
FEAJ KUTETEA HAKI ZA WAANDISHI
-
*Mwandishi wetu,Kigali*
Shirikisho jipya la Waandishi wa habari Afrika Mashariki(FEAJ) limeanzishwa
ili kusaidia kutetea haki na maslahi ya wafanyakazi ...
10 hours ago
No comments :
Post a Comment