
katika filamu hiyo inaonekana mapenzi kuchukua chati zai uku ukiacha taaluma kando hususani masomo na maswala mengine mengi waswahili wanasema 'ulimbukeni wa mapenzi' hili ndilo litakalodhiilishwa katika filamu hiyo moja kwa moja
washiliki wa kuu katika filamu hiyo ni Nice, Mohamedi, Rose Ndauka, Jackline Wolper na wengine wengi filamu hiyo itakayosambazwa na kampuni ya Steps Entetiment itakuwa madukani mwezi ujao

Akizungumzia filam hiyo Ray amesema filamu hiyo itakayokuwa ya kutisha itamweka tofauti kabisa katika filamu zingine zilizozoeleka

No comments :
Post a Comment