| Mpiga gila la Ridhim Wa msondo ngoma Zahoro Bangwe akizikung'uta nyuzi wakati wa onesho la bendi hiyo lililofanyika jumapili katika ukumbi wa Max Bar Ilala Bungoni picha na www.burudan.blogspot.com |
FALIALA MBUTU KUZIKWA JUMATATU DISEMBA 29
-
Mazishi ya mwanamuziki Faliala Mbutu ambaye alikua mume wa mwanamuziki
mkongwe wa muziki wa dansi Luiza Mbutu yatafanyika Jumatatu tarehe
Desemb...
1 day ago
No comments :
Post a Comment