Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa Uwanja wa Ndege
wa Mpanda, wakati wa hafla ya uzinduzi wa uwanja huo iliyofanyika mkoa Mpya wa
Katavi, leo Nov 24, 2012 katika uwanja huo baada ya kukamilika kwa ukarabati
uliogharimu kiasi cha Sh. Bilioni 30. Kulia ni Waziri Mkuu, Mizengo Pinda,
(kushoto) ni Mama Zakhia Bilal (wa pili kushoto) ni Katibu Mkuu wa Miundombinu,
Omar Chombo na Naibu Waziri
wa Uchukuzi, Dkt.Charles Tizeba.
WHERE HUMANITY BEGINS ,WONDER ENDURES
-
Some places are admired for their beauty. Others are remembered for the
stories they hold. Ngorongoro is both. Addressing the 48th Session of the
UNES...
2 days ago

No comments :
Post a Comment