Bondia Mohamed Hemedi 'Kadogo Ninja' kushoto akioneshana ufundi wa kutupiana makonde na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' wakati wa mazoezi yanayoendelea katika Kambi ya Ilala Dar Es salaam Class anajiandaa na mpambano wake na Said Mundi utakaofanyika Desemba 9 katika ukumbi wa PTA Sabasaba Dar es salaam picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
WENJE AVUTIWA NA CCM MPYA.
-
Aliyekuwa Kada mwandamizi wa CHADEMA Ezekiel Wenje ametangaza kujiunga na
Chama cha Mapinduzi(CCM).
Katika moja ya maneno yake wakati wa ukarobisho We...
4 hours ago
No comments :
Post a Comment