Promota
wa mchezo wa masumbwi Mohamed Bawazir katikati akiwainua mikono juu
bondia Fransic Miyayusho kushoto na Nassibu Ramadhani wakati wa
kutambulisha mpambano wao utakaofanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba
siku ya DECEMBER 9, 2012. Tiketi za
VIP za mpambano huo kwa sasa zipo tayali kwa maitaji ya kuwai kununua
mapema kabla azijaisha wasiliana na Promota kupitia namba 0715 666686 Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Mabondia
Nassibu Ramadhani na Fransic Miyayusho wakitunishiana misuri wakati wa
kutambulisha mpambano wao wa ubingwa wa WBF utakaofanyika Desemba 9
katika ukumbi wa PTA Sabasaba Dar es salaam Tiketi za VIP za mpambano huo kwa sasa
zipo tayali kwa maitaji ya kuwai kununua mapema kabla azijaisha
wasiliana na Promota kupitia namba 0715 666686 Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Mwandaji wa mpambano wa ubingwa wa WBF Mohamed Bawazir katikati akiwa
ameshika mkanda na mabondia Nassibu Ramadhani kushoto na Fransic
Miyayusho kulia wengine kulia ni Rais wa PST Emanuel Mlundwa ambao na
wasimamizi wa mpambano huo na Kushoto ni Mratibu Paul Kunanga na Kocha
wa Nasibu Christopher Mzazi
 |
Mabondia Nassibu Ramadhani na Fransic Miyayusho
wakitunishiana misuri wakati wa kutambulisha mpambano wao wa ubingwa wa
WBF utakaofanyika Desemba 9 katika ukumbi wa PTA Sabasaba Dar es salaam
Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
No comments :
Post a Comment