| Wananchi Iringa mjini wakilitazama daladala lililowaka moto wakati likiwa kwa mafundi kuunga likichomelewa leo eneo la uwanja wa samora |
| Daladala likiwaka moto huku kikosi cha zimamoto na uokoaji wakizima moto huo |
| Gari la Zimamoto na uokoaji mjini Iringa likizima moto uliokuwa ukiteketeza daladala eneo la Samora leo |
No comments :
Post a Comment