Spika
wa Bunge la Tanzania Mhe. Anne Makinda Mb akiwa na mazungumzo na
Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP)
nchini Tanzania anayemaliza muda wake Bwana Abeeric Kacou (kushoto)
mara baada ya Mwakilishi Mkazi huyo kufika Ofisini kwa Spika leo kwa nia
ya kumuaga.
“Kwaheri
na asante kwa kazi nzuri na karibu tena Tanzania ”…. Ndivyo Spika
anavyomwambia Mwakilishi Mkazi wa UNDP Bwana Kacou baada ya kumaliza
miaka minne ya utumishi hapa nchini Tanzania.
Spika
wa Bunge la Tanzania Mhe. Anne Makinda, Mb, akimkaribisha Balozi mpya wa
Cuba nchini Tanzania Mhe. Jorge Luis Lopez Tormo (kushoto) ofisi kwake
leo ambapo pamoja na mambo mengine walizungumzia kuendeleza ushirikiano
wanchi mbili hizi. Picha na Owen Mwandumbya - Bunge.
No comments :
Post a Comment