| Wanafunzi wa Joyland Pre& Primary wakiwa wamejichangana na yatima wa kituo cha Yatima Trust Fund huku walimu wao wakiwa wamesimama |
| Walimu wa Shule ya Joyland wakijitambulisha mbele ya hadhara mchana wa leo kabla ya kukabidhi msaada wao kwa yatima |
| Mkurugenzi wa Shule ya Joyland, Fred Otieno akizungumza kabla ya kukabidhi msaada kwa yatima wa kituo cha Yatima Trust Funds |
| Wanafunzi wa Joyland wakiwa wamekaa kando ya yatima wa kituo cha Yatima Trust Fund |
| Baadhi ya yatima wanaolelewa na kituo cha Yatima Trust Funds wakiwa makmini kufuatilia matukio yaliyokuwa wakiendelea kwenye hafla ya kukabidhiwa misaada na Shule ya Joyland |
| Watoto wakiwa bize kufuatilia matukio kwenye hafla iliyofanyika leo Chamazi |
| Yatima wanaolelewa kituo cha Yatima Trust wakionyesha ujuzi wao wa kunengua |
| Wnachuana kucheza muziki uliokuwa unaporomoshwa |
| Kama Super Nyamwela! Dogo ana kipaji cha kucheza muziki nouma! |
| Bendi ya Shule ya Joyland ilikuwapo kuwatumbuiza yatima siku ya leo yaani ilikuwa faraja kubwa kwa watoto hao |
| Mkurugenzi wa Joyland Pre& Primary, Fred Otieno akiomba kabla ya shughuli kuanza...yaani kama Pastor |
| Ameen! Walimu na watoto wakitikia sala ya mambi kabla ya shughuli kuanza leo Chamazi. |
| Ameeen! Watoto wakiitikia dua |
| Baadhi ya yatima wakiwa wamewabeba wanafunzi wa Joyland waliowatembelea kituoni kwao leo na kukabidhiwa msaada ya vitru mbalimbali vyenye thamani ya Sh. Mil. 5 |
| Utoto bana! wenzake wanaangalia mbele yeye anaangalia nyuma, lakini ni raha tupu! |
| Baadhi ya walimu wa Joyland wakiwa katika pozi kuangalia usalama wa watoto wao na yatima waliowatembelea |
No comments :
Post a Comment