| Bondia Amani Bariki Manny Chuga kushoto akitunishiana misuli na Selemani Motto baada ya kupima uzito ambapo mpambano wao wa kumaliza kubishi unafanyika leo |
| Mabondia Wa uzito wa Juu I ddi Bonge kushoto na Bernard Mwakasanga wakitunishiana misuli baada ya kupima uzito jana na mpambano wao unafanyika leo manzese katika ukumbi wa frends corne |
| Promota Waziri Rosra katikati akiwatambulisha mabondia Iddi bonge na bernard mwakasanga ambapo leo wanamaliza ubishi wa nani zaid |
Mabondia Wa uzito wa Juu I ddi Bonge kushoto na Bernard Mwakasanga wakitunishiana misuli baada ya kupima uzito jana na mpambano wao unafanyika leo manzese katika ukumbi wa frends corne
| Ally Bugingo akipima uzito jana kwa ajili ya mpambano wake na hasani mandula kushoto mpambano wao unafanyika leo march 23 katika ukumbi wa frends corner manzese |
| Hassani Mandula na Ali bugingo wakitunishiana kisuli |
| Promota waziri rosta baada ya kupromoti ngimi sasa na yeye ataingia ulingoni hivi karibuni kwa kudhaminiwa na kampuni ya kizarendo ya SUPER D BOXING COACH AND PROMOTION |
No comments :
Post a Comment