Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya 4Beli, Deogratius Soka (kulia) akisoma
hotuba wakati wa uzinduzi wa Tamasha la
Kihistoria la Bagamoyo uliyofanyika Bagamoyo, Mkoani Pwani mwishoni mwa wiki. Wengine kutoka kushoto ni, Katibu Msaidizi wa
Shirikisho la Riadha Tanzania, Mama Ombeni Zavala, Ofisa Elimu wa Mkoa wa Pwani , Yusuf Kipengele aliyekuwa
akimwakilisha mkuu wa mkoa huo, Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Habari, Vijana
Utamaduni na Michezo, Elisante ole Gabriel, Katibu Tawala wa Wilaya ya Bagamoyo, John Mhali na
Mkurugenzi wa 4Beli, Gilbert Herman.
Katibu Tawala wa Wilaya
ya Bagamoyo, John Mahali alizungumza katika hafla ya uzinduzi wa Tamasha la Kihistoria la Bagamoyo iliyofanyika
Bagamoyo, Mkoani Pwani . Wengine kutoka
kushoto ni, Katibu Msaidizi wa Shirikisho la Riadha Tanzania, Mama Ombeni
Zavala, Ofisa Elimu wa Mkoa wa Pwani , Yusuf
Kipengele aliyekuwa akimwakilisha mkuu wa mkoa huo, Naibu Katibu Mkuu, Wizara
ya Habari, Vijana Utamaduni na Michezo, Elisante ole Gabriel na Mkurugenzi wa
4Beli, Gilbert Herman.
MNYAMA AZINDUA JEZI UNYAMANI
-
Unaweza kusema dili limetiki kufuatia klabu ya Simba ya Jijini Dar es
Salaam kuchagua kivutio namba moja cha utalii barani Africa kufanya
uzinduzi wa w...
1 day ago
No comments :
Post a Comment