Promota Ally Mwazoa katikati akiwatambulisha mabondia Fransic Miyeyusho kushoto na Mohamed Matumla wakati wa kutangaza mpambano wao utakaofanyika April 26 katika ukumbi wa PTA Sabasaba Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
Bondia Fransic Miyeyusho kushoto na Mohamed Matumla wakikumbatiana baada ya kukubaliana kuzipiga April 26 katika ukumbi wa PTA Sabasaba picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
Bondia Fransic Miyeyusho wakitunishiana misuli na Mohamed Matumla wakati wa utambulisho wa mpambano wao mbele ya waandishi wa habari Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
Na Mwandishi Wetu
MABONDIA Fransic Miyeyusho 'Chichi
Mawe' na Mohamed Matumla 'Snake JR' leo wamesaini mkataba wa kupambana
april 26 katika ukumbi wa PTA Sabasaba
Akizungumzia mpambano huo promota wa
mchezo wa masumbwi nchini Ally Mwazoa amesema ameingia nao mkataba
mabondia hawo kwa kuwa anajua wanaweza mchezo wa masumbwi na ni mafundi
wa mchezo huo najua kuna watu wengi walitamani kudhamini mchezo huo lakini bahati imeniangukia mie
mpambano uho utakaopigwa april 26
katika ukumbi wa pta sabasaba kutakuwa na mapambano mengine makali ya
utangulizi ambapo mwana dada Lulu Kayage atamvaana na Halima Ramadhani
siku hiyo kwa ajili ya kuhamasisha wanawake wenzao wajitokeze katika
mchezo wa masumbwi
baada ya kusaini mkataba huo bondia Miyeyusho alijitamba kuendeleza ubabe
katika familia hiyo ambapo alisema atamchakaza kama alivyo mchakaza
baba yake mdogo Mbwana Matumla ambaye amecheza nae mara tatu na kupigwa
mara mbili ambapo mpambano wa mwisho ulikuwa na shamu shamu nyingi kila
upande miyeyeyusho alibuka mshindi kwa point

aliongeza kuwa ulizi na usalama wa mali zako ni wa huwakika hivyo familia nzima mnaweza kuja kushudia mpambano huo wa masumbwi bila shaka
Katika mpambano huo siku hiyo kutakuwa
na uzwaji wa DVD za mafunzo ya mchezo wa ngumi kali pamoja na kutambua sheria
zake zikiwa na mabondia wakali kama vile
No comments :
Post a Comment