 |
Bondia
Japhert Kaseba akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake wa ubingwa na
Thomasi mashali kushoto mpambano utakaofanyika PTA Sabasaba siku ya
jumamosi march 29 picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
 |
Mabondia
Thomasi Mashali kushoto na Japhert Kaseba wakiwa na mkanda ambao
wataugombania katika ukumbi wa PTA sabasaba siku ya jumamosi picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
 |
Promota wa mpambano huo Ally Mwazoa akizungumza mbele ya waandishi wa habari |
Mabondia Alani Kamote wa Tanga kushoto
pamoja na Karage Suba wakiwa na mkanda watakaougombania kesho kwenye
ukumbi wa PTA Sabasaba picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Ally Mwazoa akisisitita jambo
No comments :
Post a Comment