Bondia Mustafa Dotto kushoto akitunishiana misuli na Ibrahimu Class 'KIng class Mawe' kabla ya kuzipiga katika ukumbi wa PTA Sabasaba April 12 siku ya jumamosi katikati ni Promota Jay Msangi Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake na Mustafa Doto utakaofanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba jijini Dar es salaam Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
Bondia Fransic Miyeyusho 'Chichi Mawe'
akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake utakaofanyika PTA Sabasaba
April 12 siku ya jumamosi picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Fransic Cheka akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake wa kesho April 12 katika ukumbi wa PTA Sabasaba kushoto ni bondia Gavad Zohrehvand wa Iran picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
Na Mwandishi Wetu
Bondia Fransic Miyeyusho 'Chichi' Mawe na Bondia Sukkasem Kietyongyuth kutoka Thailand wamepima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika jumamosi ya April 12 katika ukumbi wa PTA Sabasaba
Mpambano huo wa raundi kumi utasindikizwa na mabondia Fransic Cheka na
bondia Gavad Zohrehvand wa Iran atakaecheza raundi 8

katika ukumbi wa PAT Sabasaba Dar es salaam
Katika mpambano huo siku hiyo kutakuwa
na uzwaji wa DVD za mafunzo ya mchezo wa ngumi kali pamoja na kutambua sheria
zake zikiwa na mabondia wakali kama vile
No comments :
Post a Comment