Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Steps
Solar Moses Mwanyilu 'kulia' akizungumza na waandishi wa habari awapo
pichani jinsi watakavyotoa huduma yao ya kuunganisha solar katika baadhi ya vituo vya watoto yatima,shule pamoja na taasisi za serikali katikati ni Katibu mtendaji wa Tanzania Renewable Energy Association 'TAREA' Mathew Matimbwi na Meneja mipango wa TAREA, Emma Laswai kwa kushirikiana na TAREA Picha na Mpigapicha wetu
FEAJ KUTETEA HAKI ZA WAANDISHI
-
*Mwandishi wetu,Kigali*
Shirikisho jipya la Waandishi wa habari Afrika Mashariki(FEAJ) limeanzishwa
ili kusaidia kutetea haki na maslahi ya wafanyakazi ...
9 hours ago
No comments :
Post a Comment