Mke wa marehemu Adamu kuambiana,Janeth Rithe akiweka shada la maua kwenye kaburi la mumewe
Msanii JB Jacob Steven akiweka shada la maua kwenye kaburi Jeneza likiingizwa kaburini Wasanii Steven nyerere na Single Mtambalike wakiweka udongo kwenye kaburi Jb akisaidiwa na wasanii wenzie kunyanyuka baada ya kuzidiwa na uchungu na kuanguka,wakati akitoa nasaha.Bwana ametoa bwana ametwaa jina la bwana lihimidiwe. |
FEAJ KUTETEA HAKI ZA WAANDISHI
-
*Mwandishi wetu,Kigali*
Shirikisho jipya la Waandishi wa habari Afrika Mashariki(FEAJ) limeanzishwa
ili kusaidia kutetea haki na maslahi ya wafanyakazi ...
10 hours ago
No comments :
Post a Comment