Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiweka sahihi katika kitabu cha maombolezo
alipokwenda kutoa heshima za mwisho kwa Balozi wa Malawi nchini Tanzania
Marehemu Flossy Gomile-Chidyaonga leo katika ukumbi wa mikutano wa
kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam
FEAJ KUTETEA HAKI ZA WAANDISHI
-
*Mwandishi wetu,Kigali*
Shirikisho jipya la Waandishi wa habari Afrika Mashariki(FEAJ) limeanzishwa
ili kusaidia kutetea haki na maslahi ya wafanyakazi ...
10 hours ago
No comments :
Post a Comment