Askari Polisi akiwatuliza wanakijiji wa kijiji cha Masanganya Wilaya ya Kisarawe Mkoa wa Pwani, jana baada ya hatua walizozichukua za Kumfukuza Mwenyekiti wa Kijiji
hicho, Rajabu Iddi juzi kutokana na
ubadhilifu wa matumizi mabaya na kutumia vibaya madaraka yake wakati wa Mkutano na Viongozi wa
Wilaya ya Kisarawe. Picha na Jumanne Juma.
FEAJ KUTETEA HAKI ZA WAANDISHI
-
*Mwandishi wetu,Kigali*
Shirikisho jipya la Waandishi wa habari Afrika Mashariki(FEAJ) limeanzishwa
ili kusaidia kutetea haki na maslahi ya wafanyakazi ...
10 hours ago
No comments :
Post a Comment