Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Tuesday, May 20, 2014

RAIS WA ZANZIBAR DKT SHEIN ATEMBELEA BANDARI YA MALINDI UNGUJA.


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Shirika la Bandari Abdalla Juma (katikati) alipofanya ziara ya kutembelea katika Ofisi ya Shirika hilo leo Wilaya ya mjini Unguja.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Shirika la Bandari Abdalla Juma (katikati) alipofanya ziara ya kutembelea katika Ofisi ya Shirika hilo leo Wilaya ya Mjini Unguja,(kushoto) Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano Seif Rashid,(kulia) Naibu Waziri Issa Haji Gavu, na (wapili kulia) Katibu Mkuu Wizara hiyo Juma Akili.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein (katikati) akipata maelezo kutoka kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo Maliasili Affani Othman Maalim (kulia) alipotembelea Ghala linalomilikiwa na Wizara hiyo akiwa katika ziara ya kutembelea Maghala mbali mbali katika bandari ya Unguja leo.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Maafisa wa Shirika la Biashara ZSTC alipotembelea maghala yanayomilikiwa na Shirika hilo katika  Bandari ya malindi Unguja leo alipofanya ziara maalum.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein (wa pili kulia) akipata maelezo kutoka kwa Katibu Mkuu Wizara ya Biashara Viwanda na Masoko Julian Raphael (kulia) alipokuwa akiangalia mashine ya kushindika karafuu ambayo kwa hivi sasa ikiwa katika hali ya uchakavu na kutofanya kazi,wakati alipofanya ziara ya kutembelea maghala ya karafuu yaliyopo Bandarini malindi Unguja leo.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein (wa pili kulia) akipata maelezo kutoka kwa  Mkurugenzi wa Shirika la Bandari Abdalla Juma (katikati) alipofanya ziara ya kutembelea eneo la kuhifadhia Makontena katika Bandari ya Malindi Mjini Unguja leo
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein (wa tatu kulia) akiuliza suala kwa  Mkurugenzi wa Shirika la Bandari Abdalla Juma (wa pili kulia) wakati alipofanya ziara ya kutembelea eneo la kuhifadhia Makontena katika Bandari ya Malindi Mjini Unguja leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Shirika la Bandari Abdalla Juma (kushoto) wakati alipofika kuiangalia mashime ya kufanya uchunguzi wa vitu vilivyomo ndani ya  Makontena,alipofanya  ziara ya kutembelea eneo la kuhifadhia Makontena katika Bandari ya Malindi Mjini Unguja leo. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.

No comments :

Post a Comment