
Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akisaini kitabu cha wageni
mara baada ya kuwasili katika Kanisa la KKKT jimbo la Hai.
Baadhi
ya waumini wakiingia kanisani wakati wa ibada maalumu ya iliyofanyika
katika Kanisa la KKKT jimbo la Hai, iliyokwenda sambasamba na harambee
ya kuchangia kanisa hilo pamoja na Kituo cha Watoto wanaoishi katika
mazingira magumu.
Askofu wa Jimbo la Kaskazini Dk. Martin Shao akiongoza ibada ya katika Kanisa la KKKT jimbo la Hai.
Maofisa
wa Benki ya CRDB wakiongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo, Dk.
Charles Kimei wakiwa katika ibada maalumu ya kuchangisha fedha kwa ajili
ya Kanisa la KKKT jimbo la hai.
Askofu wa Jimbo la Kaskazini Dk. Martin Shao akiongoza ibada ya katika Kanisa la KKKT jimbo la Hai.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akipeana mkono na Askofu wa KKKT jimbo la Kaskazini, Dk. Martin Shao.
No comments :
Post a Comment