akizungumzia filamu
hiyo Joti alisema kuwa amekuja kivingini kwani kitu alichofanya katika
filamu hiyo aijawai kutokea wala kufanywa na mtu yoyote yule katika
tasinia hii ya filamu nchini
hivyo wapenzi wangu
wakae mkao wa kula tu kwani wakati wowote kuanzia sasa itakuwa inaingia
sokoni kwani filamu hii si yakukosa mana unambiwa uzee mwisho chalinze
mjini kila mtu honey
hivyo wapenzi wa
filamu nawaomba wanunue nakala alisi ya filamu hiyo pindi itakapotoka
ambapo nimelezea mambo mbalimbali ya ujana usichana pamoja na uzee
mbali na hivyo
filamu hiyo imebeba mambo matatu muhimu kwanza ina burudisha pia ina
elimisha na kupata ujumbe muhimu kabisa katika jamii inayotuzunguka'
filamu hiyo ya kwanza
tangu joti aweke kando mambo ya filamu na kujingiza katika mambo ya
uchekeshaji kupitia luninga sasa ameludi tena katika filamu
yake mwenyewe inayokwenda kwa jina la
joti sanduku la babu
No comments :
Post a Comment