Meneja
Mauzo wa Kanda ya Kaskazini wa kampuni ya Megatrade Investment Ltd ya
jijini Arusha Edmund Rutaraka akikabidhi hundi ya kiasi cha shilingi
milioni 3.5kwa Makamu mwenyekiti wa klabu ya Gofu ya Moshi ,Chris Martin
ikiwa ni sehemu ya udhamini katika Mashindano ya Gofu ya Tanzania Open
K-Vant Gin Golf Co-operate Tournament 2014. .
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
No comments :
Post a Comment