Maandamano yakiongozwa na bendi ya jeshi la polisi
Baadhi
ya vijana kutoka shule mbalimbali wakiandamana kuingia katika viwanja
vya mnazi mmoja wakati wa maadhimisho ya siku ya kimataifa ya vijana
duniani iliyoadhimishw jijini Dar es Salaam. Mashirika mbalimbali ya
mataifa yanayofanya shughuli za vijana ni kamaUNFPA, IYF, UNIC, ILO,
RESTLESS DEVELOPMENT, YUNA, AMREF, MARIE STOPES, pamoja na PSI.(Picha
zote na Geofrey Adroph)
Mgeni
rasmi Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo
Prof. Elisante Ole Gabriel (wa tatu kutoka kushoto) pamoja na viongozi
wengine wakipokea maandamano ya vijana wakati wa maadhimisho ya siku ya
kimataifa ya vijana duniani iliyoadhimishwa katika Viwanja vya Mnazi
Mmoja leo jijini Dar es Salaam. Wa kwanza kushoto ni Mkurugenzi
Maendeleo ya Vijana Bw. James Kajugusi na wapili kushoto ni Mwakilishi
Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia idadi ya watu
duniani (UNFPA) Bibi. Natalia Kanem.
Mgeni
rasmi Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo
Prof. Elisante Ole Gabriel pamoja viongozi wengine wakipokea maandamano
ya vijana wakati wa maadhimisho ya siku ya kimataifa ya vijana duniani
iliyoadhimishwa katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Viongozi katika meza kuu wakiimba wimbo wa Taifa wakati
wa maadhimisho ya siku ya kimataifa ya vijana duniani iliyoadhimishwa
katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Mwakilishi
Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia idadi ya watu
duniani (UNFPA) Bi. Natalia Kanem akizungumza na vijana wakati wa
Maadhimisho ya siku ya kimataifa ya vijana duniani katika Viwanja vya
Mnazi Mmoja. Katika hotuba yake aliweza kuzungumzia maswala ya watoto wa
kike kubeba mimba wakiwa na umri mdogo ambao unapelekea kuacha masomo
kutokana na ujauzito huo pia aliwasisitiza vijana kuwa na umoja kwani
ndio nguvu kazi ya Taifa.
Mwendeshaji wa Sherehe hiyo Bi. Usia Nkhoma ambaye ni Afisa Habari wa Kituo cha Habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC) akizungumza jambo na vijana walioshiriki maadhimisho ya siku ya kimataifa ya vijana duniani katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Maendeleo ya Vijana kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bw. James Kajugusi(wa
nne kutoka kulia) akimkaribisha mgeni rasmi kuzungumza na vijana wakati
wa maadhimisho ya siku ya kimataifa ya vijana duniani katika Viwanja
vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.Wa tatu kutoka Kulia ni Naibu
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof.
Elisante Ole Gabriel, Wa
kwanza kulia ni Msaidizi wa Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa
Mataifa linaloshughulikia idadi ya watu duniani (UNFPA) nchini
Tanzania Bi. Hashina Begum na wa pili kutoka kulia ni Mwakilishi Mkazi
wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia idadi ya watu duniani
(UNFPA) Bi. Natalia Kanem.
Naibu
Katibu Mkuu kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof.
Elisante Ole Gabriel (kushoto) akitoa shukrani kwa wawakilishi wa Umoja
wa Mataifa katika maadhimisho ya siku ya kimataifa ya vijana duniani
yaliyofanyika katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam. Wa
kwanza kulia ni Msaidizi wa Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia idadi ya watu duniani (UNFPA) nchini Tanzania Bi.
Hashina Begum na wa pili kutoka kulia ni Mwakilishi Mkazi wa Shirika la
Umoja wa Mataifa linaloshughulikia idadi ya watu duniani (UNFPA) Bi.
Natalia Kanem.
Naibu
Katibu Mkuu kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof.
Elisante Ole Gabriel akiwahutubia vijana walioshiriki maadhimisho ya
siku ya kimataifa ya vijana duniani leo katika Viwanja vya Mnazi Mmoja
jijini Dar es Salaam. Katika hotuba yake aliwasisitiza vijana kujitokeza
katika uchaguzi unaotegemea kufanyoka mwezi wa kumi mwaka huu ili
kuchagua viongozi makini watakaoweza kutetea masuala ya vijana na pia
aliwasisitiza vijana kufanya kazi za kujitolea.
Msaidizi
wa Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia
idadi ya watu duniani (UNFPA) nchini Tanzania Bi. Hashina Begum
akiwasalimia vijana walioshiriki maadhimisho ya siku ya kimataifa ya vijana duniani katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Bw.
Hesein Melele(wa kwanza kuli) kijana ambaye ni mwakilishi wa asasi ya
vijana chini ya umoja wa mataifa (YUNA) akiwasilisha maazimio
yaliyofikiwa na vijana wakati wa kongamano lililofanyika Agosti 10 mwaka
huu kujadili ujumbe wa siku ya kimataifa ya vijana duniani na kuandaa
maazimio yaliyowasilishwa kwa mgeni rasmi leo katika Viwanja vya Mnazi
Mmoja walipokua wakiadhimisha siku ya kimataifa ya vijana duniani.
Mwanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Jangwani, Tatu Ahmed akitoa shukrani kwa wageni waalikwa waliofika katika Viwanja vya Mnazi Mmoja walipokua wakiadhimisha siku ya kimataifa ya vijana duniani.
Mratibu wa Mkoa wa Dar es Salaam kutoka asasi ya vijana chini ya umoja wa mataifa (YUNA), Rahim Nasser akiwatolea ufafanuzi vijana waliofika kwenye banda la Umoja wa Mataifa katika maadhimisho ya siku ya kimataifa ya vijana duniani Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Mgeni rasmi Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel akimsikiliza kwa makini Mratibu wa Mkoa wa Dar es Salaam kutoka asasi ya vijana chini ya umoja wa mataifa (YUNA), Rahim Nasser alipotembelea kwenye banda la Umoja wa Mataifa
Mkufunzi
wa Ujasiriamali/Biashara wa Program ya anzisha na imarisha biashara
yako (SIYB) iliyochini ya Shirika la Kazi Duniani (ILO), Bw. MacDonald Lanzi (wa pili kutoka kulia) akimfafanulia jambo Mgeni rasmi Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel. Wa pili kushoto ni Msaidizi wa Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia idadi ya watu duniani (UNFPA) nchini Tanzania Bi.
Hashina Begum na wa kwanza kutoka kulia ni Mwakilishi Mkazi wa Shirika
la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia idadi ya watu duniani (UNFPA) Bi.
Natalia Kanem.
Mshauri
na Mkufunzi wa Ujasiriamali/Biashara wa Program ya anzisha na imarisha
biashara yako (SIYB) iliyochini ya Shirika la Kazi Duniani (ILO), Bw.
Lawrence Ambokile(mwenye koti jeusi) akitoa ufafanuzi kwa Mgeni rasmi Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel alipotembelea banda ilo
Mgeni rasmi Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel akisaini kitabu katika kwenye moja ya bada la PSI Tanzania katika Viwanja vya Mnazi Mmoja walipokua wakiadhimisha siku ya kimataifa ya vijana duniani. kushoto ni Dkt. Benedict Nyiro
Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia idadi ya watu duniani (UNFPA) Bi. Natalia Kanem akisaini kitabu katika kwenye moja ya bada la PSI Tanzania katika Viwanja vya Mnazi Mmoja walipokua wakiadhimisha siku ya kimataifa ya vijana duniani. kushoto ni Dkt. Benedict Nyiro
Msaidizi wa Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia idadi ya watu duniani (UNFPA) nchini Tanzania Bi. Hashina Begum akisaini kitabu katika kwenye moja ya bada la PSI Tanzania katika Viwanja vya Mnazi Mmoja walipokua wakiadhimisha siku ya kimataifa ya vijana duniani. kushoto ni Dkt. Benedict Nyiro
Ofisa Habari wa Kituo cha Taarifa cha Umoja wa Mataifa Tanzania (UNIC), Stella Vuzo(wa kwanza kushoto), Meneja mradi wa ICS Bi. Imisa Masinjila(wa pili kutoka kushoto), Mkurugenzi wa Utamaduni kutoka Wizara hiyo Prof. Hermas Mwansoko(wapili kutoka kulia) pamoja na Imisa Masinjila wakizungumza jambo maadhimisho ya siku ya kimataifa ya vijana duniani katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Msaidizi wa Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia idadi ya watu duniani (UNFPA) nchini Tanzania Bi.
Hashina Begum(wa kwanza kushoto) pamoja na Mwakilishi Mkazi wa Shirika
la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia idadi ya watu duniani (UNFPA) Bi.
Natalia Kanem(katikati) wakizungumza jambo na Mkurugenzi Maendeleo ya Vijana kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bw. James Kajugusi wakati wa maadhimisho ya siku ya kimataifa ya vijana duniani katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Msaidizi
wa Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia
idadi ya watu duniani (UNFPA) nchini Tanzania Bi. Hashina Begum pamoja
na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia
idadi ya watu duniani (UNFPA) Bi. Natalia Kanem wakiwa kwenye picha ya
pamoja na baadhi ya vijana waliofika kwenye maadhimisho ya siku ya
kimataifa ya vijana duniani katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es
Salaam.
Bw.
Hesein Melele(katikati) kijana ambaye ni mwanachama wa asasi ya vijana
chini ya umoja wa mataifa (YUNA) akiwa kwenye picha ya pamoja na vijana
wenzake ambao ni Rehema Pascal(kushoto) pamoja na Felister
Vijana
kutoka vikundi mbalimbali wakitoa burudani wakati wa maadhimisho ya
siku ya kimataifa ya vijana duniani katika Viwanja vya Mnazi Mmoja
jijini Dar es Salaam.
Vijana
wakifuatilia kwa makini matukio mbalimbali yaliyokua yakiendelea wakati
wa maadhimisho ya siku ya kimataifa ya vijana duniani katika Viwanja
vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
No comments :
Post a Comment