Kocha wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kulia akimpatia zawadi ya vifaa vya mchezo wa ndondi kikingia kinywa pamoja na clip bandeji na fulana yenye ndembo ya taifa hiii ni kwa ajili ya kumpa sapoto bondia huyo anaenda kupigana afrika ya kusini agost 9 na bondia Lizbeth Sivhaga wa uko anaeshudia katikati ni rais wa TPBO Yassini Abdallah Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Kocha wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kulia akimpatia zawadi ya vifaa vya mchezo wa ndondi kikingia kinywa pamoja na clip bandeji na fulana yenye ndembo ya taifa hiii ni kwa ajili ya kumpa sapoto bondia huyo anaenda kupigana afrika ya kusini agost 9 na bondia Lizbeth Sivhaga wa uko anaeshudia katikati ni rais wa TPBO Yassini Abdallah Picha na SUPER D BOXING NEWS
Na Mwandishi Wetu
KOCHA wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila amemzawadia bondia Lulu Kayage vifaa vya mchezo wa masumbwa baada ya bondia huyo kuchaguliwa kwenda kupigana Afrika ya kusini agust 9 mwaka uhu vifaa hivyo alivyokabidhiwa bondia huyo ni Gumshilt 'kikingiakinywa' clip bandeji pamoja na fulana yenyenembo ya Tanzania vifaa ambavyo ni lazima bondia awe navyo
Lulu kayage anaondoka nchini agous 7 kwenda afrika ya kusini kupambana na Lizbeth Sivhaga Mapambano haya yatafanyika kwenye mji wa Limpopo siku ya jumapili
akizungumza baada ya kupokea msaada huo Lulu alimshukuru Super D kwa kujitolea alichojaliwa kwa kuwa sio watu wote wenye mioyo ya kujitolea kama yeyey hivyo amemwakikishia kumpa zawadi ya ushindi ili aendelee kuwa na furaha mana ushindi wangi ni wa watanzania wote hivyo sito wahangusha
nae Rais wa oganaizesheni ya ngumi za kulipwa nchini TPBO Yassin Abdallahh 'ostadh' aliongeza kwa kusema Lulu atambatana na bondia Ramadhani Shauri atakaekwenda kupambana na bondia mzoefu Philip Ndlovu siku hiyo hiyo msafara huo utakuwa na watu watatu ukiongozwa na mimi mwenyewe pamoja na mabondia wawili
ata hivyo namshukuru kocha Super D kwa kumzawadia Lulu kwani tungepata watu wengi wa kujitolea kwa moyo mmoja kama yeye michezo yetu ingefika mbali zaidi Duniani
No comments :
Post a Comment